Lyrics

B2SG – HOLY GHOST FIRE Lyrics

on

Intro

Eeeeee eeeeeee eeeee eeee
B2SG
SUBDUE
Dr. Eddy
Ndani ya Dreamland Music au sio.

CHORUS
Fire Fire Holy Ghost fire
Tunataka utufeel utu lift higher higher
Tunataka kuwaka kila siku kila mwaka
Holy Ghost fire, fire fire

VERSE 1 (I-Teemo & Jackitoh)

Moto Moto Hauskii roundi hii,
Injili impepamba moto,
Nataka kujazwa na hii Holy Fire,
Yesu Kristo, my Desire,
Nijaze nijenge ni weke tu mbele,
Yesu kristo wangu wa milele,
Mi ninalia please maze usinisare,
Nijali siku zote maishani,

With Jesus on my side I will praise forever,
Holy spirit na me more than ever,
Skia, ameniwasha amenitendea ametutendea,
Swali ni je, wewe amekutendea?
Heee, kama bado wacha wacha ku slaki,
Juu kama hujaokoka hawezi ku kublaze,
Nimeokoka na nampenda huyu Jc,
Kanitoa dhambi basi yeye ni mwokozi,

CHORUS
Fire Fire Holy Ghost fire
Tunataka utufeel utu lift higher higher
Tunataka kuwaka kila siku kila mwaka
Holy Ghost fire, fire fire

VERSE 2 (TON-EYE & NICKO)

Kama siku ya pentekoste, Mi naomba unijaze
Na roho mtakatifu niwe mwaminifu, Niwe mtakatifu
Ndio niweze kuzishinda anasa za dunia na majaribu ya shetani
Ndio niwezekulispread neno lako na ujasiri
Sitaki kudidimia mi nataka tu kuwaka
Mwilini rohoni mi na omba tuhiyo fire
Fire mi naomba hiyo fire

Majaribu ya kinijia na mlilia
Ananiskia ananijia, saidia,
Ananitia kwenye njia,
Aliyo niitia,
Heri nitafute nikikosa nimpate yeye tu,
Mkinicheki mnichukie anipende yeye tu,
Nikilemewa ninapochoka ana nisaidia tu,
Mkinilenga mniache aniongoze yeye tu,
Sababu yeye tu ndiye ataniweka juu.
Jujujuju juuu juuuuuuu.

CHORUS
Fire Fire Holy Ghost fire
Tunataka utufeel utu lift higher higher
Tunataka kuwaka kila siku kila mwaka
Holy Ghost fire, fire fire

VERSE 3 (JUSH& TON-EYE)
Siku hiyo ya pentecoste, Moto ulishuka
Watu wakajazwa na roho mtakatifu,
Na kunena na lugha isiyo eleweka, aaaaaaaaaaahaaa
Wayahudi walidhani ya kwamba wame lewa na pombe za dunia,
La ilikuwa ni roho mtakatifu wa bwana.

Jea, Holy Ghost aki reign,
Kila kitu ina change,
From nothing to something,
Zeros to heroes,
Pieces to peace,
Holy ghost shuka watu wa mungu wa kutaka,
Wakuita uwa feel, uwa lift higher higher,
Wamechoka kuwa down wanataka kuwa higher,
Holy Ghost fire wawe higher
Wa angaze kwenye dark waki spread yako word,
Yea, yako word

CHORUS
Fire Fire Holy Ghost fire
Tunataka utufeel utu lift higher higher
Tunataka kuwaka kila siku kila mwaka
Holy Ghost fire, fire fire

BRIDGE
Dr. Eddy ndani ya Dreamland Musica,
Fire fire Tunaomba utujaze,
Fire fire Utujaze
Fire fire

CHORUS
Fire Fire Holy Ghost fire
Tunataka utufeel utu lift higher higher
Tunataka kuwaka kila siku kila mwaka
Holy Ghost fire, fire fire

Outro
Tunaomba utujaze
Tunaomba utujaze
Tunaomba utujaze
Fire! Fire!

Tunaomba utujaze
Tunaomba utujaze
Tunaomba utujaze
Fire! Fire!

About AfrosAfrica

    Leave a Reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *